sw_tn/dan/05/15.md

20 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Na sasa watu wanaojulikana ....wamekwisha kuletwa mbele yangu
Muundo tendaji waweza kutumika pia."sasa watu waliojulikana ....wamekuja mbele yangu"
# kunijulisha
"kuniambia"
# utavikwa nguo za zambarau na kuwa na kuvalishwa mkufu wa dhahabu shingoni mwako
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji."Nitakupatia nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni"
# utavikwa nguo za zambarau
Nguo za zambarau zilikuwa ni adimu na zilitunzwa kwa ajili ya maafisa wa kifalme.
# mtawala wa tatu
"mtawala wa namba ya tatu"