# Na sasa watu wanaojulikana ....wamekwisha kuletwa mbele yangu Muundo tendaji waweza kutumika pia."sasa watu waliojulikana ....wamekuja mbele yangu" # kunijulisha "kuniambia" # utavikwa nguo za zambarau na kuwa na kuvalishwa mkufu wa dhahabu shingoni mwako Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji."Nitakupatia nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni" # utavikwa nguo za zambarau Nguo za zambarau zilikuwa ni adimu na zilitunzwa kwa ajili ya maafisa wa kifalme. # mtawala wa tatu "mtawala wa namba ya tatu"