sw_tn/dan/05/10.md

12 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Malkia
Matoleo ya kisasa huelewa hili kuwa ni rejea kwa mama malkia, ambaye ni mama wa mfalme. Mama malkia alipewa heshima kubwa katika Babeli ya zamani.
# Mfalme na aishi milele
Hii ilikuwa ni njia ya kawaida ya kumsalimia mfalme.
# Usiuruhusu mwonekano wa uso wako ubadilike.
"Hakuna haja ya uso kubadilika na kuwa dhaifu"