# Malkia Matoleo ya kisasa huelewa hili kuwa ni rejea kwa mama malkia, ambaye ni mama wa mfalme. Mama malkia alipewa heshima kubwa katika Babeli ya zamani. # Mfalme na aishi milele Hii ilikuwa ni njia ya kawaida ya kumsalimia mfalme. # Usiuruhusu mwonekano wa uso wako ubadilike. "Hakuna haja ya uso kubadilika na kuwa dhaifu"