sw_tn/dan/05/05.md

16 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa wakati huo huo
"Mara baada ya kufanya hivyo" au "ghafla"
# ukuta uliopigwa lipu
saruji au udongo uliosambazwa katika ukuta au darini ili kuleta ulaini katika sehemu ya juu baada ya kukauka
# uso wa mfalme ulibadilika
Hii ilisababishwa na hofu yake
# magoti yake yalikuwa yakigongana kwa pamoja
Haya yalikuwa ni matokeo ya hofu yake kubwa.