# Kwa wakati huo huo "Mara baada ya kufanya hivyo" au "ghafla" # ukuta uliopigwa lipu saruji au udongo uliosambazwa katika ukuta au darini ili kuleta ulaini katika sehemu ya juu baada ya kukauka # uso wa mfalme ulibadilika Hii ilisababishwa na hofu yake # magoti yake yalikuwa yakigongana kwa pamoja Haya yalikuwa ni matokeo ya hofu yake kubwa.