sw_tn/dan/04/19.md

16 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
katika mistari ya 19-33 inatumia nafsi ya tatu katitka kuelezea hukumu ya Nebukadneza.
# Ndipo Danieli aliyeitwa pia Belteshaza
hii nayo yew Ambaye mimi nilimwita Belteshaza
# Ufahamu wa Danieli juu ya maono ndiyo yalimwasha.
ndoto hii na iwe kwa ajili ya watu wanaokuchukia, na tafsiri yake na iwe kwa ajili ya adui zako.
# ndoto hii na iwe kwa ajili ya watu wanaokuchukia, na tafsiri yake na iwe kwa ajili ya adui zako
Danieli anazungumza matakwa yake kwamba ndoto hii haimhusu mfalme, ingawa alijua kuwa ndoto ilimhusu mfalme.