sw_tn/dan/02/46.md

24 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alianguka kifudifudi
Tendo hili linaonesha kwamba mfalme alikuwa anamheshimu Danieli. "lala chini huku kichwa kimeelekea chini."
# sadaka zitolewe na manukato yatolewe kwake
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Watumishi wake walitoa sadaka na kutoa manukato kwa Danieli."
# Hakika Mungu wako
"Ni kweli kwamba Mungu wako"
# Mungu wa miungu, Bwana wa wafalme,
"mkuu kuliko miungu mingine, na mfalme juu ya wafalme wengine wote"
# ambaye hufunua mafumbo
"yeye ambaye hufunua siri"
# kufumbua mafumbo haya
"kufunua siri za ndoto yangu"