sw_tn/dan/02/41.md

16 lines
407 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Danieli anaendelea kuongea na mfalme
# kama vile ulivyoona
Nebukadneza alione miguu iliyo na udongo na chuma. Hakuweza kuona mchakato wa utengenezaji wa miguu.
# vilikuwa kwa sehemu vimetengenezwa kwa udongo na kwa sehemu vimefanywa kwa chuma,
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ilikuwa ya mchanganyiko wa udongo na chuma"
# hawatakaa kwa pamoja
"hawatabaki wameshikamana"