sw_tn/dan/02/21.md

16 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Mistari hii pia ni sehemu ya sala ya Danieli.
# anaondoa wafalme
"huyaondoa mamlaka ya kifalme ya kutawala"
# kuweka wafalme katika viti vyao vya enzi
Kuwa katika kiti cha enzi ina maana ya kutawala ufalme. "huwafanya wafalme wapya kutawala juu ya falme zao."
# naye anaishi pamoja na mwanga.
"Mwanga hutoka sehemu ambako Mungu aliko"