sw_tn/dan/01/19.md

20 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mfalme aliongea nao
Mfalme aliongea na vijana wanne (1:17)
# miongoni mwa kundi lote hapo hapakuwa na wa kuwalinganisha na akina Danieli,Hanania, Mishaeli, na Azaria
Hii yaweza kuelezwa kwa kutumia muundo kubalifu. "Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria walimfurahisha sana zaidi ya mtu yoyote katika kundi"
# "Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria
Haya ni majina ya wanaume.
# mara kumi zaidi
hapa maneno "mara kumi" yanatia chumvi kumaanisha ubora wa hali.
# kwanza wa Mfalme Koreshi
"mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi alitawala Babeli."