sw_tn/col/02/16.md

16 lines
523 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# katika kula au katika kunywa
Sheria ya Musa ilijumuisha nani anaweza kula au kunywa. "kwa nini mnakula au mnakunywa"
# kuhusu siku ya sikukuu au mwezi mpya, au siku za Sabato
Sheria ya Musa ilielekeza siku za kusherehekea, kuabudu, na kutoa sadaka.
# kivuli cha vitu vijavyo
"Kivuli" hutoa wazo la mfano wa asili ya kitu halisi. Kwa njia hiyo hiyo, tamaduni za kidini kama vile Sheria za Musa zinaweza kwa kiasi kuonesha uhalisia wa Yesu Kristo.
# kiini
Hapa inamaanisha "uhalisia" kitu ambacho kitoacho "kivuli"