sw_tn/col/02/10.md

24 lines
1015 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# katika yeye pia mlitahiriwa
Paulo anawazungumzia wale ambao ni wa Kristo kana kwamba walikuwa walikuwa ndani ya mwili Kristo. "wakati ulipojiunga kanisani kwa kubatizwa, God alikubatiza"
# mmejazwa katika yeye
Paulo anazungumzia watu ingawa walikuwa chombo cha kubebea kwenye sehemu ambayo Mungu alimuhifadhi Kristo. mmekamilishwa katika Kristo"
# Yeye ni kichwa
Kristo ni mtawla
# tohara isiyofanywa na wanadamu
katika mfano huu, Paulo anasema kwamba Mungu amewafanya Waamini wa kikristo kukubalika kwa yeye mwenyewe
# Mlizikwa pamoja na yeye katika ubatizo
Paulo anazungumzia kuwa na ubatizo na kujiunga na kusanyiko la waamini kana kwamba ilikuwa imezikwa pamoja na Kristo. "Mungu amewazika pamoja na Kristo wakati mlipojiunga na kanisa katika ubatizo"
# Katika yeye mlifufuliwa
Kwenye mfano, Paulo anazungumzia maisha mapya ya kiroho ya waamini, walifanywa mitume kwa sababu Mungu alimfanya Kristo kufufuka tena. Hii inaweza kuwa hai. "kwa sababu mmejiunga na wenyewe kwa Kristo, Mungu amewafufua"