sw_tn/amo/09/13.md

8 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Mwandishi anawaambia wasomaji kwamba anaenda kusema jambo jipya. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kufanya hivi.
# Milima itadondosha divai tamu, na milima yote itabubujika pamoja na hiyo.
Hii mistari miwili kimsingi ni kitu kimoja na kusisitiza kwamba nchi itazalisha sana.