# Tazama Mwandishi anawaambia wasomaji kwamba anaenda kusema jambo jipya. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kufanya hivi. # Milima itadondosha divai tamu, na milima yote itabubujika pamoja na hiyo. Hii mistari miwili kimsingi ni kitu kimoja na kusisitiza kwamba nchi itazalisha sana.