sw_tn/amo/09/01.md

8 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Vivunje vipande
Maana ziwezekanazo: 1) kuvunja vipande vya hekalu au 2) vunja ncha za nguzo.
# Hata kama watachimba kwenye Sheoli, kuna mkono wangu utawachukua. Hata kama watapanda juu kwenda mbingunu, huko nitawaleta chini
"Haijalishi wanajaribu kwenda wapi, intakuwa huko kuwashikilia."