# Vivunje vipande Maana ziwezekanazo: 1) kuvunja vipande vya hekalu au 2) vunja ncha za nguzo. # Hata kama watachimba kwenye Sheoli, kuna mkono wangu utawachukua. Hata kama watapanda juu kwenda mbingunu, huko nitawaleta chini "Haijalishi wanajaribu kwenda wapi, intakuwa huko kuwashikilia."