forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
563 B
Markdown
16 lines
563 B
Markdown
|
# Mambo ambayo...Amosi...aliyapokea katika ufunuo
|
||
|
|
||
|
Kila kitu ambacho Mungu amemfanya Amosi kuelewa kupitia ambacho Amosi amekiona au kusikia.
|
||
|
|
||
|
# Yahwe atanguruma kutoka Sayuni; atainua sauti yake kutoka Yerusalemu
|
||
|
|
||
|
Hii mistari miwili inashirikiana maana moja. Yote inasisitiza kwamba Yahwe anapiga kelele kama ajiandaa kulihukumu taifa
|
||
|
|
||
|
# Yahwe atanguruma
|
||
|
|
||
|
kama 1) simba au 2) radi
|
||
|
|
||
|
# Yahwe
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la Yahwe ambalo alijifunua kwa watu wake katika kipindi cha Agano la Kale. Tazama ukurasa wa tafsri ya Neno kuhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri hii.
|