# Mambo ambayo...Amosi...aliyapokea katika ufunuo Kila kitu ambacho Mungu amemfanya Amosi kuelewa kupitia ambacho Amosi amekiona au kusikia. # Yahwe atanguruma kutoka Sayuni; atainua sauti yake kutoka Yerusalemu Hii mistari miwili inashirikiana maana moja. Yote inasisitiza kwamba Yahwe anapiga kelele kama ajiandaa kulihukumu taifa # Yahwe atanguruma kama 1) simba au 2) radi # Yahwe Hili ni jina la Yahwe ambalo alijifunua kwa watu wake katika kipindi cha Agano la Kale. Tazama ukurasa wa tafsri ya Neno kuhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri hii.