sw_tn/act/25/25.md

20 lines
598 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha
Festo akaendelea kuongea na Mfalme Agripa
# Nimemleta kwenu, hasa kwako, Mfamle Agripa
" Nimemleta Paulo kwenu nyote lakini hasa kwako Mfalme Agripa"
# Ili nipate cha kuandika zaidi
"ili nipate cha ziada cha kuandika" au "ili nijue niandike nini"
# haina maana kumpeleka mfungwa na bila kuonyesha mashitaka yanayomkabili
"itakuwa na maana nikimpeleka mfungwa na kuonyesha mashtaka yanayomkabili"
# Mashitaka dhidi yake
inamaanisha kuwa 1) mashitaka yaliyoletwa juu yake na viongozi wa Kiyahudi au 2) mashitaka chini ya sheria za Roma yanayoelezea kesi ya Paulo.