sw_tn/act/19/18.md

28 lines
698 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa sehemu ya habari inayowahusu Wayahudi wapunga mapepo.
# Wakakusanya vitabu vyao
'Walikusanya vitabu vyao'. Neno "vitabu" linaelezea aina ya magombo yaliyokuwa yakitumika kuendeshea manuizio ya uchawi kutokana na mwelekezo wa maneno yaliyoandikwa humo.
# mbele ya macho ya kila mtu
mbele ya kila mtu
# thamani yake
"thamani ya vitabu" au "thamani ya yale magombo"
# Elfu hamsini
50,000.00
# vipande vya fedha
"Kipande cha fedha" ilikuwa takriban mshahara wa siku kwa mfanyakazi wa kawaida
# Hivyo Neno la Bwana likaenea kwa upana sana katika njia yenye nguvu
"Kwasababu ya matendo makuu haya, watu wengi zaidi waliusikia ujumbe kuhusu Bwana Yesu."