sw_tn/act/18/27.md

28 lines
572 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Akaya lilikuwa jimbo katika sehemu ya Kusini mwa Ugiriki kwa sasa
# Kupitia katika Akaya
"Kwenda kupitia katika Mkoa wa Akaya"
# Ndugu
Neno "ndugu" hapa linamaanisha wanaume na wanawake walioamini.
# kawaandikia wanafunzi
"kuandka barua kwa Wakiristo walioko Akaya"
# Wale walioamini kwa neema
"Wale waliokuwa wameamini wokovu wa Yesu wa neema"
# Appolo aliwashinda Wayahudi hadharani
Appolo aliwashinda Wayahudi mbele ya watu wengine kwa hoja zake.
# Kwa uwezo na ujuzi wake
"Kwa nguvu ya ushindani wa hoja zake na ujuzi wake wa kuongea"