forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
484 B
Markdown
16 lines
484 B
Markdown
|
# Taarifa za jumla
|
||
|
|
||
|
Fungu hili linazungumzia wale waheshimiwa wa mji huo.
|
||
|
|
||
|
# waliingiwa na wasiwasi
|
||
|
|
||
|
"kufadhaika" au "kuwa na mashaka kiakili"
|
||
|
|
||
|
# walikuwa wamaukua fedha ya ulinzi kutoka kwa Jason na baadhi ya watu wengine.
|
||
|
|
||
|
Fedha hii ilikuwa ahadi ya mwenendo mzuri, ambayo inaweza kurudishwa kama mambo yote yataenda vizuri, au kutumika kukarabati uharibifu uliosababishwa na mwenendo mbaya. "walipokea dhamana" au "amana" au "faini"
|
||
|
|
||
|
# na wengine
|
||
|
|
||
|
"waumii wengine mbali na Yasoni"
|