sw_tn/act/16/01.md

24 lines
932 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi ungsnishi
Hii sehemu ya hadithi ni kuhusu safari ya Paulo na Sila. Hapa Timotheo alitambuisha kwenye hadithi na kujiunga na Paulo na Sila. Mstari wa 1 na 2 hutoa taarifa za msingi kuhusu Timotheo
# Tazama
Neno "Tazama" inatutaadharisha juu ya mtu mpya katika simulizi. Lugha yako huenda ikawa na njia ya kufanya hivyo.
# Kijana aliyezaliwa na mama wa Kiyahudi ambaye ni muumini
"Kijana aliyezaliwa na mama wa Kiyahudi ambaye anamwamini Kristo.
# Aliongelewa vizuri
"Timotheo alikuwa na tabia nzuri" au "Walioamini walisema mambo mazuri juu ya Timotheo"
# Paulo alimtaka ili asafiri naye, hivyo akamchukua
"Paulo alimtaka Timotheo asafiri naye hivyo Paulo akamchukua" maneno mengine kama (yeye, yake) yanamrejea Timotheo.
# baba yake ni Mgiriki
Kama Mgiriki, baba yake Timotheo hangeweza binafsi kumtahiri Timotheo hivyo Paul alimtahiri. Tohara mara nyingi ilifanywa na Mwalimu wa Kiyahudi, kama vile Paulo.