sw_tn/act/10/17.md

20 lines
684 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Petro akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa
Inamaana kuwa Petro alikuwa na wakati mgumu kuelewa maana ya maono hayo.
# Tazama
Neno "Tazama" hapa linatutazamisha sisi kuwa makini katika taarifa za ajabu ambazo zinafuata, kwa jambo hili, wanaume wawili walisimama mbele ya geti.
# wakasimama mbele ya geti
"kusimama mbele ya geti la kuingilia ndani." hii inamaanisha kuwa hii nyumba ilikuwa na ukuta na geti la kuingilia kwenye nyumba hiyo.
# wakiuliza njia ya kwenda kwenye nyumba
Hili nitukio lilitendeka kabla ya kufika kwenye nyumba alipokuwa Petro. Hili tukio lingeripotiwa mapema kabla.
# Na wakaita
Watu wa Karnelio walibaki nje ya Geti wakati wakiulizia kuhusu Petro.