sw_tn/act/09/36.md

32 lines
736 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Luka anaendelea na simlizi ya tukio jipya kuhusu Petro.
# Maelezo ya jumla
Mistari hii inatupa historia ya mwanamke aliyeitwa Tabitha.
# Palikuwa
Hili linamtambulisha sehemu mpya katika simulizi.
# Tabitha, ambalo lilitafsiriwa kama "Dorcas."
Tabitha ni jina lake katika lugha ya kiaramaiki,na jina la Dorcas katika lugha ya Kigiriki. Majina yote yalikuwa na maana ya "paa."
# alijaa matendo mema
"anafanya mengi mazuri ya kweli"
# Ilitokea katika siku hizo
"Ilitokea wakati Petro alipokuwa Lida".
# walipomsafisha
Waliusafisha mwili ikiwa ni maandalio ya maziko yake.
# walimpandisha chumba cha juu na kumlaza.
Huu ilikuwa ni utaratibu wa muda wa kuuonyesha mwili wakati wa maandalizi ya mazishi.