sw_tn/act/09/33.md

28 lines
677 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Akamuona huko mtu mmoja
Petro hakuwa makini kumtafuta mtu aliyepooza lakini ilimtokea. "Hapo Petro akakutana na mtu."
# mtu mmoja jina lake Ainea
Hapa anatambulisha Ainea kama mtu mpya katika simlizi.
# Ambaye amekuwa kitandani ...amepooza
Hii ni historia ya nyuma kuhusu Ainea
# Aliyepooza
hana uwezo wa kutembea, pengine hakuwa na uwezo wa kujisogeza chini ya kiuno
# jitandikie kitanda chako
"jitwike godoro lako"
# kila mtu aliyekaa Lida Sharon
Hii inaimarisha maana " watu wengi walioishi maeneo ya Lida na Sharoni.
# Wakamwona yule mtu.
Inaweza kuwa msaada kuelezea kuwa walimwona mtu akiwa mtu ameponywa. "Walimwona mtu ambaye Petro alikuwa amemponya".