sw_tn/act/07/29.md

16 lines
475 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Jamii iliyokuwa inamsikiliza Stefani ilikuwa inajua kuwa Musa alikuwa amemwoa mwanamke wa kimidiani alipokimbia kutoka Misri.
# Baada ya kusikia haya
Musa alipotambua kuwa Waisraeli wanajua kuwa alikuwa amemwua Mmisri siku moja kabla.
# Baada ya miaka arobaini kupita
Wakati miaka arobaini imepita baada ya Musa kutoka Misri.
# malaika akamtokea
Stefano alikuwa akiongea na kungi ambalo lilijua pia kuwa Mungu aliongea na Musa kwa njia ya Malaika.