forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
466 B
Markdown
12 lines
466 B
Markdown
|
# Kwa nini sisi tunawasikia, kila mmoja katika lugha tulizozaliwa nazo?
|
||
|
|
||
|
Inawezekana ikamaanisha 1) ni swali halisi ambalo watu walihitaji jibu lake kutokana na mshangao wao au 2) swali lisilohitaji jibu lililodhihirisha jinsi walivyoshangaa.
|
||
|
|
||
|
# Waparthi ... Waelamu
|
||
|
|
||
|
Hii inaorodhesha baadhi ya mataifa, mikoa na miji ambayo watu walitoka.
|
||
|
|
||
|
# Wabadili dini kufuata desturi za kiyahudi
|
||
|
|
||
|
"watu wasio Wayahudi ambao wamekuwa Wayahudi" au "waliogeukia dini ya Kiyahudi"
|