sw_tn/2ti/02/19.md

40 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Msingi wa Mungu
Maana inawezekana ni 1) "Kanisa la Mungu limejenga tangu mwanzo" au 2) "ukweli juu ya Mungu" (UDB) au 3) "uaminifu wa Mungu."
# anaetaja jina la Bwana
ambaye anasema yeye ni muumini katika Kristo
# Aachane na uovu
Maana inawezekana ni 1)"kuacha kuwa mbaya" au 2) "kuacha kufanya mambo yasiyofaa.'"
# Vyombo
Hii ni neno la ujumla kwa bakuli, sahani, sufuria, ambayo watu kuweka chakula au kinywaji humo. Kama lugha yako haina neno la ujumla, kutumia neno kwa 'bakuli' au 'sufuria.' Ni mfano kwa ajili ya watu
# Heshima.... kutokuheshimu
Maana inawezekana ni 1) 'hafla maalum ... kawaida mara' (UDB) au 2) 'aina ya shughuli watu wema kufanya hadharani ... aina ya shughuli watu wema kufanya binafsi.'
# ajitakase mwenyewe kutoka matumizi yasiyo ya heshima
Maana inawezekana ni 1) 'kujitenganisha mwenyewe kutoka kwa watu wasioheshimika" au 2) 'anayejifanya safi.'
# chombo cha hesima
Muhimu kwa ajili ya hafla maarumu" au " muhimu kwa ajili ya shughuli watu wema kufanya kwa wazi"
# Maelezo ya jumla
Kama vile chombo chenye thamani kinavyoweza kutumika kwa njia za heshima katika nyumba yenye utajiri, mtu yeyote atakayemrudia Mungu atatumika kwa heshima katika kufanya kazi njema.
# Ametengwa maalumu, mwenye manufaa kwa Bwana, na ameandaliwa kwa kila kazi njema.
"Bwana amemtenga na yupo tayari kutumiwa na Bwana kufanya kazi njema.
# Ametengwa
Hajatengwa kimwili lakini katika kutimiza kusudi.