sw_tn/2ti/02/16.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Neno lao kuenea kama donda ndugu
"Nini wanasema yataendelea kusambaa kama ugonjwa wa kuambukiza" Kama vile donda ndugu kuenea katika mwili wa mtu na kuuteketeza, nini watu hao walikuwa wakisema ingeweza kuenea kutoka mtu hadi mtu na kudhuru imani ya wale ambao walisikia maneno hayo, "neno lao kuenea haraka na kusababisha uharibifu kama donda ndugu" au "Watu haraka kusikia wanayoyasema na kuwa wanaathirika nayo
# Donda ndugu
wafu, huozo mwili. njia pekee ya kuweka donda ndugu kueneza na kumuua mtu mgonjwa ni kwa kukatwa eneo lililoathirika.
# ufufuo ulishafanyika
Mungu tayari amewafufa waumini waliokufa kwenye uzima wa milele '
# kubadirisha imani ya watu wengine
Kufanya baadhi ya waumini kuwa na shaka' au "kushawishi baadhi ya waumini kwa kuacha kuamini"
# ambayo huongoza kwa zaidi na zaidi ya uasi
"inayoweza kusababisha watu wakawa kinyume na Mungu"
# Himenayo na Fileto
Haya ni majina ya wanaume.
# walioukosa ukweli
Paulo anazungumzia ukweli kama lengo kuu. Paulo anamaanisha watu hawa hawajaelewa ukweli na wanafundisha uongo.