sw_tn/2sa/22/32.md

16 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea.
# Maana ni nani aliye Mungu isipokuwa Yahwe? Na ni nani aliyemwamba isipokuwa Mungu?
Daudi anatumia maswali kusisitiza kwamba hakuna Mungu zaidi ya Yahwe.
# aliyemwamba
Daudi anamlinganisha Yahwe na mwamba kusisitiza nguvu zake na uwezo wa kuwalinda watu wake.
# humwongoza asiye na hatia katika njia yake
Yahwe humlinda asiye na hatia katika usalama na kuondoa kila kinachoweza kumdhuru.