sw_tn/2sa/22/26.md

8 lines
242 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# lakini kwa wakaidi unajionesha kuwa mkaidi
"kaidi" inamaanisha kuwa mkaidi, na "mpotevu" inamaanisha kutoka katika mema na haki. Inamaanisha Mungu huwashughulikia watu kwa hekima.