# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea # lakini kwa wakaidi unajionesha kuwa mkaidi "kaidi" inamaanisha kuwa mkaidi, na "mpotevu" inamaanisha kutoka katika mema na haki. Inamaanisha Mungu huwashughulikia watu kwa hekima.