sw_tn/2sa/22/24.md

12 lines
218 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# Nimejiepusha na dhambi
Hii ni kuchagua kutomtenda dhambi Yahwe
# kwa kadiri ya usafi wangu mbele zake
"Usafi wangu" inamaanisha kilekile "utakatifu wangu"