# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea # Nimejiepusha na dhambi Hii ni kuchagua kutomtenda dhambi Yahwe # kwa kadiri ya usafi wangu mbele zake "Usafi wangu" inamaanisha kilekile "utakatifu wangu"