sw_tn/2sa/22/17.md

12 lines
339 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
# kutoka katika vilindi vya maji
Daudi analinganisha adui zake na mafuriko yanayotishia kumzamisha.
# Aliokoa kuatoka kwa adui yangu mwenye nguvu.
Adui wa Daudi walikuwa na nguvu. Alimsifu Mungu kwa kumkomboa kutoka kwa adui zake wote.