# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho # kutoka katika vilindi vya maji Daudi analinganisha adui zake na mafuriko yanayotishia kumzamisha. # Aliokoa kuatoka kwa adui yangu mwenye nguvu. Adui wa Daudi walikuwa na nguvu. Alimsifu Mungu kwa kumkomboa kutoka kwa adui zake wote.