sw_tn/2sa/22/01.md

16 lines
528 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelizo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaanza. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
# katika mkono wa adui zake wote na katika mkono wa Sauli
Huu ni mwendelezo kutoka maadui na kwenda kwa adui maalumu wa Daudi, Mfalme Sauli.
# kutoka mkono wa
"Inamaanisha kutoka katika nguvu ya"
# Yahwe ni mwamba wangu, ngome yangu
Usemi huu unamaanisha mwendelezo katika sehemu, "mwamba" kwa ujumla "ngome." Ngome inajengwa kwa mawe mengi makubwa. Hii inamaanisha kwamba Yahwe ananguvu za kulinda watu wake katika madhara.