# Maelizo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaanza. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho # katika mkono wa adui zake wote na katika mkono wa Sauli Huu ni mwendelezo kutoka maadui na kwenda kwa adui maalumu wa Daudi, Mfalme Sauli. # kutoka mkono wa "Inamaanisha kutoka katika nguvu ya" # Yahwe ni mwamba wangu, ngome yangu Usemi huu unamaanisha mwendelezo katika sehemu, "mwamba" kwa ujumla "ngome." Ngome inajengwa kwa mawe mengi makubwa. Hii inamaanisha kwamba Yahwe ananguvu za kulinda watu wake katika madhara.