sw_tn/2sa/21/05.md

20 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliyepanga kinyume chetu
"aliyefanya mipango dhidi yetu"
# haya na tupewe watu saba kutoka katika uzao wake
Yamaanisha "waruhusu watu wako kutopa wazao wake saba"
# Tutawatundika
"tutawanyonga kwa kuwatundika"
# Katika Gibea ya Sauli
Sauli alikuwa anatoka katika mji wa Gibea.
# Aliyeteuliwa na Yahwe
Yaweza kuwa "atakayechaguliwa na Yahwe"