sw_tn/2sa/20/20.md

36 lines
813 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Iwe mbali, iwe mbali nami, hata
Hapa anarudia kifungu hiki kusisitiza kwamba asingefanya vile.
# hata nikameze au kuharibu
Hii inamaanisha kuharibu mji.
# kumeza au kuharibu
Katika vifungu vyote maana yake ni kuharibu. Katika kifungu cha kwanza "kuharibu" inasemwa kama ndiko "kumeza." Hii yaweza kuunganishwa.
# ameinua mkono wake dhidi ya
Hii inamaanisha kuasi na kupigana na mtu fulani.
# Mtoeni peke yake
Yoabu anawambia watu wa mji kumtoa Sheba peke yake.
# Nitauacha mji
Hapa "mimi" inawataja wote Yoabu na askari.
# Kichwa chake kitarushwa
Yaweza kuwa tutakurushia kichwa chake.
# Kisha mwanamke akawaendea watu wa mji katika hekima yake
Inamaanisha mwanamke alitenda kwa busara na kuongea na watu wake walichopaswa kufanya.
# kila mtu nyumbani kwake
"Kila mtu alirudi nyumbani kwake"