# Iwe mbali, iwe mbali nami, hata Hapa anarudia kifungu hiki kusisitiza kwamba asingefanya vile. # hata nikameze au kuharibu Hii inamaanisha kuharibu mji. # kumeza au kuharibu Katika vifungu vyote maana yake ni kuharibu. Katika kifungu cha kwanza "kuharibu" inasemwa kama ndiko "kumeza." Hii yaweza kuunganishwa. # ameinua mkono wake dhidi ya Hii inamaanisha kuasi na kupigana na mtu fulani. # Mtoeni peke yake Yoabu anawambia watu wa mji kumtoa Sheba peke yake. # Nitauacha mji Hapa "mimi" inawataja wote Yoabu na askari. # Kichwa chake kitarushwa Yaweza kuwa tutakurushia kichwa chake. # Kisha mwanamke akawaendea watu wa mji katika hekima yake Inamaanisha mwanamke alitenda kwa busara na kuongea na watu wake walichopaswa kufanya. # kila mtu nyumbani kwake "Kila mtu alirudi nyumbani kwake"