sw_tn/2sa/20/17.md

28 lines
787 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sikiliza maneno ya mtumishi wako
Mwanamke anajitaja kama "mtumishi wako." Hii in njia laini ya mtu kuongea na mtu mwenye mamlaka.
# na ushauri huo ungemaliza jambo
"na ushauri huo ungetatua tatizo"
# wenye amani na uaminifu zaidi katika Israeli
Maneno yanayokosekana waweza kuongeza kuwa wa amani na mji mwaminifu zaidi katika Israeli"
# Mji mama katika Israeli
Hii inamaanisha umuhimu wa mji katika nchi ya Israeli kama vile ulikuwa mji wenye heshima kama mama mwenye heshima.
# Kwa nini unataka kuumeza urithi wa Yahwe?
Hapa mwanamke anatumia swali kupendekeza kwa Yoabu cha kuacha kufanya.
# Kuumeza
Mwanamke anazungumzia adui kuuaribu mji kama ulikuwa chakula cha kumezwa.
# urithi wa Yahwe
Mji unaoneshwa kama urithi wa Yahwe kusisitiza kwamba unamilikiwa na Yahwe.