sw_tn/2sa/20/11.md

24 lines
602 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliye kwa ajili ya Daudi
Kuwa "kwa ajili" ya mtu inamaanisha kumuunga mkono.
# Amasa akalala akigaagaa katika damu yake
Amasa alikuwa akaijivingirisha katika damu yake, lakini kwa wakati huu yawezekana alikwisha kufa. Inaelezwa hivi kuonesha mwili wake ulivyoonekana.
# watu wote wakasimama... kumkaribia wakasimama
Inaanisha waliacha kutembea na kushangaa maiti ya Amasa.
# Alimbeba Amasa
"aliubeba mwili wa Amasa"
# Baada ya Amasa kuondolewa njiani
Hii yaweza kuelezawa kuwa baada ya mtu kuuondoa mwili wa Amasa njiani.
# katika kumfuatia
Nomino dhahania yaweza kuelezwa kama kitenzi.