# aliye kwa ajili ya Daudi Kuwa "kwa ajili" ya mtu inamaanisha kumuunga mkono. # Amasa akalala akigaagaa katika damu yake Amasa alikuwa akaijivingirisha katika damu yake, lakini kwa wakati huu yawezekana alikwisha kufa. Inaelezwa hivi kuonesha mwili wake ulivyoonekana. # watu wote wakasimama... kumkaribia wakasimama Inaanisha waliacha kutembea na kushangaa maiti ya Amasa. # Alimbeba Amasa "aliubeba mwili wa Amasa" # Baada ya Amasa kuondolewa njiani Hii yaweza kuelezawa kuwa baada ya mtu kuuondoa mwili wa Amasa njiani. # katika kumfuatia Nomino dhahania yaweza kuelezwa kama kitenzi.