sw_tn/2sa/20/09.md

20 lines
336 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# binamu yangu
Amasa alikuwa mwana wa dada wa mama wa Yoabu.
# kwa utaratibu
"kwa upole"
# akakishika kidevu cha Amasa kwa mkono wake wa kulia ili ambusu
Hii ilikuwa njia ya kawaida a watu kusalimiana.
# jambia
upanga mfupi ambao ni rahisi kuuficha ulikuwa mapigano ya karibu na mauaji.
# matumbo kumwagika
utumbo ulitoka nje.