# binamu yangu Amasa alikuwa mwana wa dada wa mama wa Yoabu. # kwa utaratibu "kwa upole" # akakishika kidevu cha Amasa kwa mkono wake wa kulia ili ambusu Hii ilikuwa njia ya kawaida a watu kusalimiana. # jambia upanga mfupi ambao ni rahisi kuuficha ulikuwa mapigano ya karibu na mauaji. # matumbo kumwagika utumbo ulitoka nje.