sw_tn/2sa/20/06.md

28 lines
780 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abishai
Huyu ni jemedari mwingine wa jeshi la Daudi.
# Hasitudhuru zaidi
"hasituumize zaidi"
# watumishi wa bwana wako, askari wangu
Kifungu "askari wangu" inafafanua "watumishi" wapi. Daudi anajitaja mwenyewe kama "bwana wako" kama njia rasmi ya kuongeza na mtu mwenye cheo cha chini.
# kumfuatia
"kufukuza mtu"
# mbali na upeo wa macho yetu
Hapa Daudi anataja jeshi lake kwa uoni wao kusisitiza kwamba Shiba na watu wake wangejificha hata wasiwakamate.
# ataona miji yenye ngome
Hii inamaana kwamba Shiba na watu wake wangeingia katika miji hii na kujificha kutoka jeshi la Daudi. Neno "yeye" linasimama badala ya Shiba lakini linawarejerea wote Shiba na watu wake.
# Wakelethi... Wapelethi
Haya ni majina ya makundi ya watu waliokuwa wakimlinda Mfalme Daudi.