sw_tn/2sa/20/03.md

16 lines
293 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kulitunza kasiri
Hapa kifungu "kutunza" inamaanisha kuangalia.
# nyumbani chini ya ulinzi
Ikiwa nyumba iko "chini ya ulinzi" inamaanisha kuna mlinzi aliyepo katika nyumba.
# walikuwa imefungwa
Inamaana hawakuruhusiwa kutoka ndani
# wajane
Hawa ni wanawake ambao waume zao wamefariki.